Wafanyibiasha wa soko la Kapkateny kususia kulipa ushuru hadi mazingira ya soko yarekebishwe

  • | West TV
    53 views
    Wafanyibiashara katika soko la Kapkateny wamekerwa sana mazingira duni ya kuendesha biashara katika soko lao na hivyo wameapa kutolipa ushuru kwa serikali ya kaunti ya Bungoma hadi malilio yao yasikilizwe