Wafanyibiashara 3,000 katika soko la Toi wakadiria hasara baada ya moto kuteketeza vibanda vyao

  • | Citizen TV
    1,421 views

    Zaidi wafanyabiashara 3,000 wakadiria hasara ya moto Mali ya mamilioni iliteketezwa kwenye moto huu Moto uliteketeza vibanda usiku wa manane jumamosi Wafanyabiashara wadai huenda moto huu ulipangwa