Wafanyibiashara wa soko la Luanda wameapa kuendeleza mgomo wao wa kulipa ushuru hadi waboreshewe sok

  • | West TV
    63 views
    Wafanyibiashara katika soko la luanda kaunti ya vihiga wamedinda kulipa ushuru kwa serikali ya kaunti hiyo wakisema hawatalipa ushuru hadi serikali ya kaunti hiyo itakapoimarisha na kuboresha mazingira ya kufanya biashara yakiwemo kujengewa soko la kisasa, usafi miongoni mwa masuala mengine