Wafanyibiashara wa soko la Masingo wakerwa na Takataka kwa eneo lao la biashara

  • | West TV
    76 views
    Wafanyibiashara katika mji wa Kakamega ndani ya soko la Masingo wamejitokeza kulalamikia kutupwa kwa takataka ya mji huo karibu na soko hilo tukio ambalo wamelitaja kuwa la kuwaatharisha na magonjwa ya uchafu