Wafanyibiashara wa soko la Mbale wadai kupata ugumu kulipia ushuru kidijitali

  • | West TV
    78 views
    Wafanyibiashara katika soko la mbale wamelalalamikia mfumo mpya wa kidijitali wa ukusanyaji ushuru, wengi wakitaja ukosefu wa uhamasisho wa jinsi ya kulipia kupitia mbinu hii ikizingatiwa kuwa wengi wana madeni na mikopo ya simu hii ikiwazuia kulipia ushuru