Wafanyibiashara waendelea kuhamisha vifaa vyao eneo la Kanduyi

  • | West TV
    94 views
    Wafanyibiashara waliokuwa na maduka kwenye shamba la serikali eneo la kanduyi wameendelea kuhama baada ya kupokea notisi ya kufanya hivyo kufanikisha ujenzi wa barabara inayoelekea uwanja wa masinde muliro eneo la kanduyi