Wafanyibishara za mapambo walalamikia ushuru

  • | Citizen TV
    757 views

    Wafanyibishara wanaofanya kazi ya kuuza mapambo , na wigi mjini eldoret wanapinga mswada wa fedha unaopigiwa debe na serikali ya kenya kwanza.Wafanyibishara hao wanasema iwapo mswada huo utapitishwa, bungeni basi wengi watafunga biashara zao.John Wanyama ana mengi zaidi.