Wafanyikazi wa serikali za kaunti watishia kugoma

  • | KBC Video
    84 views

    Huduma za serikali za kaunti huenda zikalemazwa baada ya chama cha wafanyikazi wa kaunti kutoa ilani ya mgomo unaotarajiwa kuanza tarehe 24 mwezi huu. Hii ni baada ya juhudi za kuafikiana na serikali hizo kutibuka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive