Wafuasi sugu wa ODM kaunti ya Busia wapinga maandalizi ya maadhimisho ya miaka 20 ya chama

  • | Citizen TV
    5,125 views

    Huku Hafla Ya Sherehe Za Kuadhimisha Miaka 20 Za Chama Cha Odm Zikitarajiwa Kufanyika Hapo Kesho Katika Shule Ya Msingi Ya Bukiri Eneo Bunge La Funyula Kaunti Ya Busia, Baadhi Ya Wafuasi Sugu Wa Chama Hicho Mjini Busia Wamepinga Maandalizi Hayo.