- 3,090 viewsDuration: 1:35Baada ya jaji wa Mahakama Kuu Andrew Mwamuye kumwondolea mashtaka ya ufisadi gavana wa Trans‑Nzoia, George Natembeya, wafuasi wake mjini Bungoma walijitokeza kusherehekea uamuzi huo na kuutaja kama ushindi kwa umma wa walio wengi.