- 2,829 viewsDuration: 3:08Familia na marafiki wa marehemu Padre Daniel Raphael Mureithi walikusanyika kwa Misa ya wafu katika Kanisa Katoliki la Ridgeways kusherehekea maisha ya mtu ambaye wengi wamemtaja kuwa mwaminifu katika imani na huduma kwa Mungu. Marehemu Padre, aliyefarikiasubuhi ya tarehe 2 Februari mwaka huu wa 2026, alihudumu kama padre kwa takriban miongo mitano