Wafugaji katika kaunti ya Kajiado washauriwa kufuga samaki

  • | Citizen TV
    225 views

    Wafugaji katika kaunti ya kajiado wameshauriwa kuanzakufuga samaki kama njia mojawapo ya kuwahakikishia chakula cha kutosha haswa wakati wa ukame. Wakazi hao wamepokea mafunzo na kupewa vifaa na samaki ili kuanzisha miradi itakayowahakikishia utoshelevu wa chakula.