Wafugaji kaunti ya Kajiado wageukia kilimo baada ya mifugo wao kufa wakati wa ukame

  • | Citizen TV
    576 views

    Wafugaji wengi katika kaunti ya Kajiado wamekumbatia kilimo ili kujikimu kimaisha baada ya mifugo wao wengi kufa wakati wa ukame. Katika eneo la Entashat Kajiado magharibi tayari juhudi zao zimeanza kuzaa matunda, hata hivyo suala la uhaba wa maji bado ni kikwazo kwenye safari hiyo mpya.