Wafugaji Laikipia wahimizwa kuanza kufuga nguruwe kama njia mojawapo ya kujiinua kimaisha

  • | Citizen TV
    114 views

    Kama njia mojawapo ya kujiinua kimaisha, wakulima wanaoishi katika mipika ya Laikipia na Baringo ambao mifugo yao imekuwa ikiibiwa, wametakiwa kuanza kufuga nguruwe balada la ng'ombe na mbuzi.