- 637 viewsDuration: 3:06Wafugaji wanaoishi katika eneo la Loyangalani kaunti ya Marsabit, na ambao wanawaoza watoto wao wa kike mapema na kutowapeleka shuleni, wameonywa vikali. Haya yanajiri huku watoto 200 wakirejeshwa shuleni kufuatia kampeni iliyoendeshwa katika eneo hilo. Kama anavyotuarifu Bonface Barasa, watoto mia moja sitini na wanane kati yao ni wale waliokuwa kwenye hatari ya ndoa ya mapema