- 352 viewsDuration: 1:46Wafugaji na Wafanyibiashara wa mifugo Kutoka Meru wamelalamikia kutelekezwa na viongozi wao kwenye vita dhidi ya Wizi wa mifugo ambao umekithiri miezi Miwili iliyopita haswa kwenye eneo la marisho mpakani mwa Meru, Isiolo na Samburu.