Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Samburu wafurahia manufaa ya mradi wa hewa kaa

  • | Citizen TV
    597 views
    Duration: 3:29
    Wafugaji wanaokumbatia uhifadhi wa mazingira na uzalishaji hewa ya kaa katika kaunti ya Samburu wamewasuta vikali wale wanaoendeleza pingamizi dhidi ya mpango huo na kusema mradi huo umebadili maisha ya wafugaji pakubwa huku mifugo wakipata lishe na wafugaji wakitumia mapato ya hewa ya kaa kufanikisha miradi mbalimbali