Wafugaji wa Ng'ombe na Mbuzi wa maziwa wapewa mafunzo maalum

  • | Citizen TV
    84 views

    Bodi ya uzalishaji wa maziwa nchini imeandaa hafla za mafunzo kwa wafugaji katika kaunti ya Nyamira, kama njia moja ya kuimarisha ubora na viwango vya uzalishaji wa maziwa katika kaunti hiyo.