Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji wafanikiwa kuvua tani nne za samaki Namalenga Busia

  • | Citizen TV
    590 views
    Duration: 2:11
    Wavuvi katika Kaunti ya Busia chini ya kikundi cha jamii cha Namalenga wamepiga hatua kubwa baada ya kuvua tani nne za kwanza za samaki kutoka katika mabwawa mapya yaliyoanzishwa chini ya mradi wa ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.