18 Sep 2025 2:02 pm | Citizen TV 96 views Duration: 1:46 Mradi wa mageuzi katika kijiji cha Ngarema, kaunti ya Isiolo, umeleta matumaini mapya kwa wafugaji waliokumbwa na athari za mabadiliko ya tabianchi na uhaba wa malisho.