Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji watawanywa kutoka kituo cha polisi Marigat, kaunti ya Baringo

  • | KBC Video
    336 views
    Duration: 2:45
    Maafisa wa polisi huko Marigat, katika eneo la Baringo kusini walifyatua gesi ya kutoza machozi kuwatawanya wafugaji waliovamia kituo cha polisi kufuatia kunaswa kwa ng’ombe wao waliovamia shamba la watu kwenye mpango wa unyunyiziaji mashamba maji wa Perekera. Wafugaji hao kutoka Kiserian na Mosuro, wameripotiwa kuwalisha mifugo wao kwenye mpango ambako mimea ilikuwa tayari kuvunwa na hivyo kuzua hali ya taharuki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive