Wafula Wamunyinyi ataka serikali kuingilia kati kwa ufufuzi wa kiwanda cha Nzoia

  • | West TV
    25 views
    Mgombea wa Useneta katika kaunti ya Bungoma Wafula Wamunyinyi amejitokeza na kutoa wito kwa serikali kuangazia juhudi za kukifufua kiwanda cha sukari cha Nzoia