Wafundishwa kutabasamu tena... baada ya Covid

  • | BBC Swahili
    304 views
    Ni kitu rahisi sana lakini kinaweza kugharimu hadi dola 55 ukiwa nchini Japan. 'Wakufunzi wa tabasamu' nchini humo sasa wanasaidia watu kuzoea kutabasamu tena baada ya Covid. Madarasa hayo yameibuka tangu Japan ilipoondoa ulazima wa kuvaa barakoa kama kanuni za kujikinga na Covid mwezi Machi. #bbcswahili #japan #covid19