Wagombea wa Chama cha Republican wajiweka mbali na Trump katika mdahalo

  • | VOA Swahili
    214 views
    Mdahalo wa tatu wa wagombea urais kwa chama cha Republican ulifanyika jana Jumatano huko Miami, Florida, na watarajiwa wachache walikuwepo kwenye jukwaa kuliko midahalo iliyopita. Wagombea walijaribu kila mmoja alijaribu kujiweka kando na mgombea ambaye anaongoza katika kinyang’anyiro h icho rrais wa zamani Donald Trump na masuala kadhaa ya kimataifa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.