18 Feb 2026 1:48 pm | Citizen TV 188 views Duration: 1:04 Wagonjwa katika hospitali mbali mbali za kaunti ya Kajiado wamepata afuenii baada ya idara ya afya kupokea dawa za shilingi millioni 74m ambazo zimesambazwa kwenye hospitali mbali mbali za kaunti hiyo ya Kajiado.