- 355 viewsDuration: 3:27Wagonjwa wa saratani Katika kaunti ya Laikipia wanasema maisha yao yako hatarini kufuatia changamoto mpya za malipo chini ya mpango wa bima ya afya - SHA. Wanalalamika kunyimwa matibabu, wengine wakidaiwa fedha kabla ya kutibiwa