Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa wa saratani wataka serikali iwekeze zaidi kwa vifaa vya matibabu

  • | Citizen TV
    262 views
    Duration: 1:46
    Wagonjwa wa saratani wanataka serikali kuwekeza zaidi kwenye vifaa na hospitali maalum za kutibu ugonjwa wa saratani miongoni mwa Wakenya. Wakiadhimisha siku ya Saratani Duniani Katika hospitali ya Ruai Family, wagonjwa hao vile vile wamelalamikia kutoongezwa kwa kiwango cha matibabu kupitia SHA kutoka Kshs 550,000 hadi 800,000 kama ilivyoagizwa na rais William Ruto kwenye sherehe ya Mashujaa mwaka uliopita.