Wagonjwa watatu walazwa hospitali kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    178 views

    Watu watatu wamelazwa katika hospitali ya kaunti ya Migori baada ya kuambukizwa ugonjwa wa kipindupindu huku idadi ya maambukizi ikifikia watu wanne.