19 May 2026 2:01 pm | Citizen TV 521 views Duration: 1:06 Familia zilizo katika mazingira magumu katika kaunti ya Mandera zimepata afueni baada ya wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya ufa kwenye mdomo kufanyiwa upasuaji wa bure kupitia kambi maalum ya matibabu.