- 667 viewsDuration: 3:06Wafanyakazi na wahadhiri wa chuo kikuu cha Jomo Kenyatta walitumia siku yao kucheza na kujifurahisha katika uwanja wa mahafali huku mgomo wa wahadhiri ukiingia mwezi wa pili. Aidha wahadhiri wanaishinikiza serikali kuwalipa shilingi bilioni 7.9 kulingana na mkataba wao wa maelewano kabla ya kurejea darasani.