- 3,935 viewsDuration: 1:24Mkutano kati ya wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma na maafisa wa serikali umekosa kupata muafaka baada ya chama cha wafanyikazi (KUSU) na muungano wa wahadhiri (UASU) kusisitiza wahadhiri walipwe jumla ya shilingi bilioni 7.9 kabla ya mazungumzo ya kurejea kazini kufanyika.