- 364 viewsDuration: 1:34Wawakilishi wa wafanyakazi katika sekta ya elimu barani Africa wamekashifu vikali mgomo unaoendelea wa waadhiri. Wakizungumza jijini Nairobi Ijumaa hii walielezea mahangaiko ya wanafuzi wakionya Kenya dhidi ya kujiunga na orodha ya nchi zingine barani Afrika ambazo Zinakiuka sheria za kimataifa za leba.