- 154 viewsDuration: 3:35Masomo sasa yanaweza kurejelewa katika vyuo vikuu vya umma baada ya wahadhiri kutia saini mkataba wa kurejea kazini na serikali na kumaliza mgomo wao wa siku 49.Makubaliano hayo yataifanya serikai kutoa shilling billioni 7.9 kwa awamu mbili kuanzia mwezi desemba mwaka huu.Na jinsi Joseph Wakhungu anavyotusimulia, wahadhiri hao wanaitahadharisha serikali kwamba watarejea kwenye mgomo endapo serikali itajaribu kuhujumu mkataba huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive