- 588 viewsDuration: 7:53Wanachama wa muungano wa UASU ambao unajumuisha wahadhiri na hata wafanyikazi katika vyuo vikuu vya umma wanaendelea na mgomo wao. Wahadhiri hao ambao wamebeba mabango ya kukashifu serikali kwa kuwapuuza, wamesema hawatarejea kazini hadi serikali itimize mkataba wao wa malipo. hebu tuskize tetesi zao kwa sasa katika uwanja wa chuo kikuu cha Nairobi