- 1,297 viewsDuration: 3:46Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaendelea kuishinikiza serikali kutatua mgomo wa wahahdiri ambao unaendelea kwa mwezi wa pili sasa. Wakizungumza katia maeneo tofauti nchini, wanafunzi hao wanasema watakuwa wakiandamana hadi serikali iwatimizie haki yao ya kikatiba ya kupata elimu.