Wahubiri Kajiado mashariki wapinga usajili mpya wa maabadi

  • | Citizen TV
    179 views

    Viongozi wa kidini katika eneo la Kajiado Mashariki wameshutumu serikali kwa kuidhinisha usajili upya kwa maeneo ya ibada.