Skip to main content
Skip to main content

Wahubiri wasema mswada wa kudhibiti maabadi utawanyima uhuru wa kuabudu

  • | Citizen TV
    215 views
    Duration: 1:29
    Viongozi wa makanisa kule Malindi kaunti ya kilifi sasa wamejitokeza na kupinga mswada wa kudhibiti makanisa humu nchini.