Wahudumu wa afya katika hospitali ya Nakuru, watishia kugoma baada ya kuchelewa kwa mishahara

  • | NTV Video
    93 views

    Wahudumu wa afya wakiwemo wauguzi, maafisa wa kliniki, na wale wa maabara katika hospitali za umma kaunti ya Nakuru, wametishia kugoma baada ya kuchelewa kwa mishahara yao kwa miezi miwili sasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya