Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya wa Laikipia watoa makataa ya siku saba

  • | Citizen TV
    333 views
    Duration: 2:19
    Vyama vya wafanyakazi wa sekta ya afya katika Kaunti ya Laikipia vimetoa muda wa siku saba kwa serikali ya kaunti hiyo kutekeleza makubaliano waliyoafikiana awali, la sivyo wagome.