Wahudumu wa afya wanaofanya kazi mipakani waibua wasiwasi kuhusu visa vya ugonjwa wa kifua kikuu

  • | NTV Video
    28 views

    Wahudumu wa afya wanaofanya kazi katika mipaka ya Kenya, Tanzania na Uganda sasa wameibua wasiwasi kuhusu visa vya ugonjwa wa kifua kikuu mipakani huku wakihusishwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa kifua kikuu ambao hupotea baada ya kutafuta msaada wa kiafya

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya