- 645 viewsDuration: 1:10Huduma za afya nchini huenda zikatatizika pakubwa huku wahudumu wa afya wakianza maandamano ya kutetea haki zao. Vyama vya wafanyakazi katika sekta hiyo vimetangaza maandamano hayo huku wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara ya maelfu ya wafanyakazi wa mpango wa afya ya umma kwa wote na seikali za kaunti.