Wahudumu wa afya watishia kuondoa huduma zao wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    41 views

    Baadhi ya vyama vya wahudumu wa afya, vimeshtumu kile vinavyokitaja kuwa kuendelea kudhulumiwa kwa wahudumu wa afya wakati wa maandamano nchini . Kulingana na katibu mkuu wa chama cha madaktari na wataalam wa meno, Dr.Davji Atellah, wahudumu wa afya wamekuwa wakilengwa katika kila maandamano licha ya jitihada zao za kuokoa maisha. Wafanyakazi wa afya sasa wametishia kusitisha huduma zao wakati wa maandamano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive