Wahudumu wa boda boda kaunti ya Mombasa wahamasishwa kuhusu usalama barabarani

  • | Citizen TV
    426 views

    Wahudumu wa Bodaboda kaunti ya Mombasa hii Leo wanapokea hamasisho kuhusu usalama, hii ni baada ya kuongezeka kwa visa vya bodaboda kuibiwa Na baadhi yao kujeruhiwa Na wahalifu. Francis Mtalaki yuko sokoni kongwea ambapo hafla hiyo inaendelea.