16 Sep 2025 1:46 pm | Citizen TV 531 views Duration: 1:50 Wahudumu wa bobaboda eneo la city mall nyali wamepinga vikali sheria mpya ya uchukuzi wakisema sekta hiyo imedhibitiwa kupitia vyama vya wanabobaboda Na makundi yaliopo.