Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa bodaboda wadai pesa zilitumika vibaya, Gavana Mbarire ahojiwa Seneti

  • | Citizen TV
    9,380 views
    Duration: 3:22
    Gavana wa Embu Cecily Mbarire ameendelea kujipata lawamani kufuatia ripoti za utumizi mbaya wa pesa za umma. Wahudumu wa bodaboda wakiandaa maandamano kulalamikia hatua ya Gavana kukiri kuwa alitumia visivyo fedha za umma zilizopangiwa ujenzi wa kiwanda cha biashara huko Embu. Mbarire aliyehojiwa na kamati ya bunge la seneti alishurutishwa kueleza ni kwanini alitumia shilingi milioni kumi kwa mkutano wa uwezeshaji wa wanaboda boda kinyume na matumizi yake