Wahudumu wa magari ya umma jijini Kisumu wakosoa uhamisho wao, wasema hawataondoka

  • | Citizen TV
    885 views

    Wahudumu wa magari ya umma wakosoa uhamisho Jiji la Kisumu lilichapisha ilani kuhusu steni jumamosi Wahudumu washikilia kuwa hawakushauriwa kabla