Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa matatu watishia kugoma kuanzia Jumatatu kufuatia mgogoro na bodaboda waliochoma magari

  • | Citizen TV
    8,699 views
    Duration: 3:26
    Hali ya wasiwasi imeibuka kuhusu maandamano ya wahudumu wa matatu siku ya jumatatu kulalamikia kile wanadai ni kuongezeka kwa visa vya kuteketezwa kwa magari yao na watu wanaodaiwa kuwa wahudumu wa boda boda. Kundi moja la wenye matatu waliokutana na kamanda wa polisi Nairobi, George Sedah wametangaza kusitisha mgomo huku kundi lingine wakisisitiza maandamano yataendelea kama yalivyopangwa