Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa teksi na tuktuk walalamikia kudorora kwa biashara yao

  • | Citizen TV
    414 views
    Duration: 1:12
    Wahudumu wa tuktuk na teksi huko Watamu eneo bunge la Kilifi kaskazini wameandamana wakilalamikia kudorora kwa biashara yao kutokana na uwepo wa usafiri wa teksi zinanzotumia viunzi vya mtandao kupata wateja.