6 Nov 2025 1:12 pm | Citizen TV 298 views Wadau wa sekta ya Utalii wameandamana mapema leo hapa jijini Nairobi kupinga ongezeko la ada za kuegesha magari na kuingia katika mbuga na hifadhi za wanyamapori nchini.