16 Sep 2025 10:34 am | Citizen TV 132 views Duration: 2:56 Mjini Siaya, athari za maandamano ya zaidi ya wahudumu wa afya 380 waliofutwa kazi zinaendelea kutikisa kaunti hiyo, baada ya wahudumu hao kudai walitimuliwa kwa misingi ya udanganyifu usiothibitishwa.